Corona (COVID-19) Knowledge & Vaccine information in Tanzania

Corona (COVID-19) & Taarifa za Chanjo

COVID-19  ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona. Ugonjwa huu umeshaathiri watu wengi sana duniani. Kwa Tanzania, mgonjwa wa kwanza aligundulika mwaka 2020 na baada ya hapo ugonjwa huu umeendelea kuishambulia Tanzania kama ilivyo mataifa mengine ingawa  athari zake kwa nchi nyingi za Afrika si kubwa kama ilivyo nchi za Ulaya, Amerika na Asia.

Habari njema kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID-19)  ni kuwa, ni wagonjwa wengi saana wanaopata ugonjwa wa Corona(COVID-19) hupona bila ya athari yoyote, na wachache saaana ndiyo hupelekea kuhitaji uangalizi maalumu.

Pia, kwa sasa nchi nyingi zimeshagungua chanzo za Corona (COVID-19) (Corona Vaccine), chanjo hizi za Corona (COVID-19)  zimeendelea kutolewa katika nchi nyingi duniani na hata baadhi ya nchi za Afrika mashariki. Kwa maelezo ya kina kuhusu chanjo ya ugonjwa wa Corona (COVID-19) tembelea hapa.

Dalili kuu za Corona (COVID-19):

Dalili nyinginezo za Corona (COVID-19)

kwa taarifa zaidi kuhusu ugonjwa wa Corona (COVID-19) tembelea  Wizara ya Afya  au TanzMED

Powered by Tanzmed